Camille Saint-Saëns

From Wikipedia, the free encyclopedia

Camille Saint-Saëns
Remove ads

Camille Saint-Saens (Kifaransa: Camille Saint-Saëns) (9 Oktoba 1835 - 16 Desemba 1921) alikuwa mtunzi wa Opera na mpiga kinanda mashuhuri kutoka nchini Ufaransa. Alikuwa mmoja kati watunzi wakubwa wa Opera wa kipindi cha Romantic. Alitunga nyimbo nyingi sana zenye mandhari tofauti na kukubalika katika jamii ya watu wa Ufaransa.

Thumb
Camille Saint-Saëns.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Camille Saint-Saëns kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads