John Field (mtunzi)

From Wikipedia, the free encyclopedia

John Field (mtunzi)
Remove ads

John Field (26 Julai 178223 Januari 1837) alikuwa mtunzi wa Opera na mpigaji kinanda maarufu kutoka nchini Ireland. Anafahamika zaidi kwa kuwa mtunzi wa kwanza kutunga nyimbo za kupigwa nyakati za usiku (kwa Kiing. nocturnes).

Thumb
John field.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Field (mtunzi) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads