Giuseppe Verdi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Giuseppe Verdi
Remove ads

Giuseppe Verdi (Roncole, karibu na Busseto, Parma 9 au 10 Oktoba 1813 - [Milano] 27 Januari 1901) alikuwa mtunzi wa opera kutoka nchini Italia.

Thumb
Giuseppe Verdi.
Thumb

Yaaminika kwamba Verdi na Richard Wagner walikuwa watunzi wakubwa kabisa wa muziki wa opera kwa kipindi cha karne ya 19, ingawaje walikuwa wakiishi nchi tofauti.

Viungo vya nje

Ukweli wa haraka
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Giuseppe Verdi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads