Charles-Valentin Alkan

From Wikipedia, the free encyclopedia

Charles-Valentin Alkan
Remove ads

Charles-Valentin Alkan (30 Novemba 1813 - 29 Machi 1888) alikuwa mtunzi wa muziki na mpigaji wa kinanda maarufu kutoka nchi ya Ufaransa.

Thumb
Charles-Valentin Alkan.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Charles-Valentin Morhange; wakati wa utoto yeye na ndugu zake wakatumia jina la baba yao Lakan kama jina la familia.

Charles-Valentin alikuwa mpigaji kinanda mashuhuri na mwenye uwezo wa kupiga kinanda haraka zaidi na alitunga tungo nyingi za kinanda, ambazo nyingi zilikuwa vigumu kwa watu wengine kuweza kuzipiga.

Remove ads

Viungo vya nje

Tunzi na nakala za muziki

Ukweli wa haraka
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles-Valentin Alkan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads