Franz Schubert

From Wikipedia, the free encyclopedia

Franz Schubert
Remove ads

Franz (Peter) Schubert (alizaliwa mjini Vienna, 31 Januari 1797 na kufariki Vienna 19 Novemba 1828) alikuwa mtunzi wa Opera wa Kiaustria. Ingawa alifariki dunia akiwa na umri wa maiaka 31 lakini alitunga zaidi ya nyimbo elfu moja.

Thumb
Franz Schubert

Na inaamika kwamba kazi zake ni miongoni mwa kazi bora ziliwahi kutungwa. Alitunga ala nzuri zenye kupendeza. Kulikuwa na watunzi wengi wakubwa waliowahi kuishi mjini Vienna: Haydn, Mozart na Beethoven, lakini Schubert ni yeye peke yake aliyezaliwa mjini Vienna. Schubert alikuwa ndiyo mtunzi mkubwa wa mwisho wa muziki wa klasiki na Romantic music.

Remove ads

Viungo vya nje

Rekord zake na baadhi ya MIDI faili

Nakala za muziki wake

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads