Edward Elgar

From Wikipedia, the free encyclopedia

Edward Elgar
Remove ads

Sir Edward William Elgar (2 Juni 1857 - 23 Februari 1934) alikuwa mtunzi maarufu wa Opera kutoka nchini Uingereza.

Thumb
Picha ya ya Mh. Edward Elgar.

Maisha

Baba wa Elgar alikuwa akimiliki duka la kuuza vyombo vya muziki.

Mbali na kusomea mambo ya kupiga zeze la kizungu, yaani "violin", Elgar pia alijifunza mwenyewe namna ya kufanya muziki. Pia alijifunza namna ya kuchapisha-kuandika muziki katika duka la baba yake na mara nyingi walikuwa wakisafiri pamoja alipokuwa akienda kuseti vinanda kwa wateja walionunua.

Mwaka wa 1904 alipewa cheo cha "Sir" cha Uingereza.

Mwaka wa 1924 alitangazwa kuwa Mkuu wa Muziki wa Mfalme ("Master of the King's Music").

Remove ads

Viungo vya nje

Ukweli wa haraka
Ukweli wa haraka
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edward Elgar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads