César Franck

Mwalimu wa Ubelgiji-Kifaransa, mtunzi na mtunzi From Wikipedia, the free encyclopedia

César Franck
Remove ads

César Franck (10 Desemba 1822 - 8 Novemba 1890) alikuwa mtunzi wa Opera, mpiga kinanda na mwalimu wa muziki wa Kibeligiji-Kijerumani aliyekuwa anaishi nchini Ufaransa. Alikuwa mmoja kati wa watunzi maarufu wa kipindi cha romantiki. Alikuwa mpigaji kinanda wa Kanisa la Mtakatifu Clotilde la mjini Paris kwa zaidi ya miaka 30 akawa anafundisha vijana wengi wenye vipaji vya muziki. Miziki yake iliyo mingi ambayo ni maarufu zaidi, aliitunga akiwa tayari mtu mzima.

'

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Amefariki ...
Remove ads

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu César Franck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads