Nikolai Rimsky-Korsakov

From Wikipedia, the free encyclopedia

Nikolai Rimsky-Korsakov
Remove ads

Nikolai Andreyevich Rimsky-Korsakov (Kirusi:Николай Андреевич Римский-Корсаков, Nikolaj Andreevič Rimskij-Korsakov, pia Nikolay, Nicolai, na Rimsky-Korsakoff (18 Machi 1844 - 21 Juni 1908) alikuwa mtunzi wa Opera kutoka nchini Urusi. Alikuwa mtunzi maarufu wa kipindi cha Romantic na ana athari kubwa za watunzi wengine wa Opera. Huyu pia ni mmoja kati wa watunzi watano mashuhuri wa Kirusi.

Thumb
Nikolai Rimsky-Korsakov.
Remove ads

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons


Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nikolai Rimsky-Korsakov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.



Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads