Modest Mussorgsky

From Wikipedia, the free encyclopedia

Modest Mussorgsky
Remove ads

Modest Petrovitch Mussorgsky (1 Machi 1839 - 28 Machi 1881) alikuwa mtunzi wa Opera kutoka nchini Urusi. Alikuwa maarufu sana kwa opera zake na nyimbo zilizo safi kwa mandhari ya Kirusi.

Thumb
Modest Mussorgsky.

Viungo vya nje

  • Mussorgsky ame orodheshwa katika International Music Score Library Project



Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Modest Mussorgsky kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads