Pyotr Ilyich Tchaikovsky

From Wikipedia, the free encyclopedia

Pyotr Ilyich Tchaikovsky
Remove ads

Pyotr Ilyich Tchaikovsky (kwa Kirusi: Пётр Ильич Чайковский, Pëtr Il’ič Čajkovskij;  sikiliza ?) (alizaliwa Kamsko-Votkinsk, 7 Mei 1840 - mjini St. Petersburg, 6 Novemba 1893) alikuwa mtunzi na mwanasanaa mbalimbali kutoka nchini Urusi.

Thumb
Pyotr Ilyich Tchaikovsky.

Yeye ni mashuhuri zaidi ya watunzi wengine wote wa kutoka nchini Urusi. Alitunga ala nzuri na zilijawa na simanzi-kusitisha. Alijifunza na kufuata mwenendo wa muziki wa kutoka Magharibi mwa Ulaya, lakini miziki yake yote ilikuwa ikisikika sana kwa mwundo wa Kirusi.

Remove ads

Viungo vya nje

Public Domain Sheet Music:

Ukweli wa haraka
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pyotr Ilyich Tchaikovsky kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads