26 Julai
tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tarehe 26 Julai ni siku ya 207 ya mwaka (ya 208 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 158.
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
- 1497 - Katika safari yake ya kwanza baharini, Vasco da Gama anafikia visiwa vya Cabo Verde
- 1887 - Ludwik Zamenhof anachapisha kitabu cha kwanza cha lugha ya Kiesperanto kwa Kirusi
- 1952 - Nchi ya Misri inapata uhuru kutoka Uingereza
Waliozaliwa
- 1678 - Kaisari Joseph I wa Ujerumani
- 1739 - George Clinton, Kaimu Rais wa Marekani
- 1782 - John Field, mtunzi wa opera kutoka Eire
- 1829 - Auguste Beernaert, mwanasiasa Mbelgiji na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1909
- 1856 - George Bernhard Shaw, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1925
- 1875 - Carl Gustav Jung, mwanasaikolojia kutoka Uswisi
- 1928 - Stanley Kubrick, mwongozaji wa filamu kutoka Marekani
- 1939 - Wopko Jensma, mshairi wa Afrika Kusini
- 1964 - Sandra Bullock, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1966 - Anna Rita Del Piano, mwigizaji wa filamu kutoka Italia
- 1968 - Vítor Pereira, mchezaji wa mpira na kocha kutoka Ureno
- 1973 - Kate Beckinsale, mwigizaji filamu kutoka Uingereza
Remove ads
Waliofariki
- 432 - Mtakatifu Papa Celestino I
- 1471 - Papa Paulo II
- 1833 - Mtakatifu Bartolomea Capitanio, bikira kutoka Italia
- 1999 - Walter Jackson Bate, mwandishi kutoka Marekani
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yohakimu na Ana, Erasto wa Korintho, Simeoni wa Mantova, Austindo, Bartolomea Capitanio, Titus Brandsma, Joji Preca n.k.
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 26 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads