Heta
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Heta (kwa Kigiriki ἡτα iliandikwa kama Ͱ au ͱ) ilikuwa kiasili herufi ya nane ya alfabeti ya Kigiriki kabla ya kusanifishwa. Sauti yake ilikuwa kama H. Asili yake ilikuwa Heth ya Kifinisia.
Baadaye ilifutwa katika alfabeti ya Kigiriki kwa sababu lugha ilipoteza sauti hiyo.
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads