Sho

From Wikipedia, the free encyclopedia

Sho
Remove ads

Sho (kwa Kigiriki iliandikwa kama Ϸ au ϸ) ilikuwa herufi katika matumizi ya alfabeti ya Kigiriki kabla ya kusanifishwa. Sauti yake ilikuwa kama SH.

Ukweli wa haraka Alfabeti ya Kigiriki, Herufi za kawaida ...

Alfabeti ya Kigiriki ilitumiwa na Wabaktriani huko Baktria wakati Sho bado ilikuwemo. Waliendelea kuitumia kwa sauti ya SH iliyotokea mara nyingi katika lugha yao.

Baadaye ilifutwa katika alfabeti ya Kigiriki.

Remove ads

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads