Koppa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Koppa (kwa Kigiriki κόππα iliandikwa kama Ϙ, Ϟ au ϙ, ϟ ilikuwa kiasili herufi ya kumi na saba ya alfabeti ya Kigiriki kabla ya kusanifishwa. Sauti yake ilikuwa kama Q. Asili yake ilikuwa Qoph ya Kifinisia.
Remove ads
Baadaye ilifutwa katika alfabeti ya Kigiriki kwa sababu lugha ilipoteza sauti hiyo. Alama ilitumiwa kwa namba 90 pekee.
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads