Phi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Phi
Remove ads

Phi (Φ φ) ni herufi ya ishirini na moja katika alfabeti ya Kigiriki.

Ukweli wa haraka Alfabeti ya Kigiriki, Herufi za kawaida ...
Remove ads

Asili yake haijulikani kwa hakika.

Matamshi yake ni "f".

Katika Kigiriki cha Kale ilikuwa pia tarakimu ikimaanisha namba 500.

Kama herufi nyingine za Kigiriki, phi inatumika katika hisabati na sayansi kama kifupisho cha dhana au vipimo mbalimbali.

Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads