Ni
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ni (Ν ν) ni herufi ya 13 katika Alfabeti ya Kigiriki. Inaandikwa kama ν (alama ya kawaida) au Ν (alama kubwa mwanzoni mwa majina).
Zamani za Kigiriki cha Kale ilikuwa pia tarakimu, ikiwa alama ya namba 50.
Asili ya 'ni' ni herufi ya Kifinisia ya nun 𐤔 .
Matamshi yake yalikuwa "n".
Katika alfabeti zinazofuata mfano wa Kigiriki ilipokelewa katika alfabeti ya Kilatini kama "N" na katika alfabeti ya Kisirili kama "H".
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads