Sampi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Sampi (kwa Kigiriki σαμπῖ iliandikwa kama Ͳ, Ϡ au ͳ, ϡ) ilikuwa kiasili herufi ya ishirini na tano ya alfabeti ya Kigiriki kabla ya kusanifishwa. Sauti yake ilikuwa kama S au SS.
Baadaye ilifutwa katika alfabeti ya Kigiriki kwa sababu lugha ilipoteza sauti hiyo. Alama ilitumiwa kwa namba 900 pekee.
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads