Khi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Khi
Remove ads

Khi (Χ χ) ni herufi ya ishirini na mbili katika Alfabeti ya Kigiriki. Inaandikwa kama χ (alama ya kawaida) au Χ (alama kubwa).

Ukweli wa haraka Alfabeti ya Kigiriki, Herufi za kawaida ...

Zamani za Kigiriki cha Kale ilikuwa pia tarakimu, ikiwa alama ya namba 600.

Matamshi yake yalikuwa "kh".

Katika alfabeti zinazofuata mfano wa Kigiriki ilipokelewa katika alfabeti ya Kilatini kama "X" na katika alfabeti ya Kisirili kama "X".

Herufi hiyo inatumiwa na Wakristo kuwakilisha Kristo, jina ambalo kwa Kigiriki linaanza na khi.

Kama herufi nyingine za lugha hiyo, khi inatumika katika hisabati na sayansi kama kifupisho cha dhana na vipimo mbalimbali.

Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads