Psi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Psi
Remove ads

Psi (Ψ ψ) ni herufi ya ishirini na tatu katika Alfabeti ya Kigiriki. Inaandikwa kama ψ (alama ya kawaida) au Ψ (alama kubwa).

Ukweli wa haraka Alfabeti ya Kigiriki, Herufi za kawaida ...

Zamani za Kigiriki cha Kale ilikuwa pia tarakimu, ikiwa alama ya namba 700.

Asili ya psi haijulikani kwa hakika.

Matamshi yake yalikuwa "ps".

Katika alfabeti zinazofuata mfano wa Kigiriki ilipokelewa katika alfabeti ya Kisirili kama "Ѱ".

Kama herufi nyingine za Kigiriki, psi inatumika katika hisabati na sayansi kufupisha dhana au vipimo mbalimbali.

Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads