Yot
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Yot (kwa Kigiriki iliandikwa kama Ϳ au ϳ) ilikuwa herufi katika matumizi ya alfabeti ya Kigiriki kabla ya kusanifishwa. Sauti yake ilikuwa kama Y. Asili yake ilikuwa Yodh ya Kifinisia.
Remove ads
Alfabeti ya Kigiriki ilitumiwa na Waalbani huko Ugiriki wakati Yot bado ilikuwemo. Waliendelea kuitumia kwa sauti ya Y iliyotokea mara nyingi katika lugha yao.
Baadaye ilifutwa katika alfabeti ya Kigiriki.
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads