Rho

From Wikipedia, the free encyclopedia

Rho
Remove ads

Rho ni herufi ya kumi na saba katika Alfabeti ya Kigiriki. Inaandikwa kama P (herufi kubwa) au ρ (herufi ndogo ya kawaida). Rho ni asili ya herufi R katika alfabeti ya Kilatini. Kuhusu mabadiliko ya umbo tazama huko. Sauti ya "r" katika alfabeti ya Kisirili huandikwa kama rho.

Ukweli wa haraka Alfabeti ya Kigiriki, Herufi za kawaida ...

Katika Ugiriki ya Kale ilihesabiwa pia kama tarakimu kwa maana ya namba "100".

Jinsi ilivyo kawaida kwa herufi mbalimbali za Kigiriki, rho inatumiwa kama kifupisho kwa ajili ya dhana mbalimbali katika hesabu na fizikia. Imejulikana hasa kama alama ya densiti na pia kwa ukinzani wa umeme.

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rho kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rho kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads