Pai (herufi)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Pai ni herufi ya kumi na sita katika Alfabeti ya Kigiriki. Inaandikwa kama Π (herufi kubwa cha mwanzo) au π (herufi ndogo ya kawaida). Pai ni asili ya herufi ya P katika alfabeti ya Kilatini.
Remove ads
Katika Ugiriki ya Kale ilihesabiwa pia kama tarakimu kwa namba "80".
Katika elimu ya hisabati herufi pai inatumiwa kutaja namba pai ambayo ni namba ya duara.
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads