New Mexico

From Wikipedia, the free encyclopedia

New Mexico
Remove ads

New Mexiko (Meksiko Mpya) ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika kusini ya Marekani bara. Imepakana na Texas, Oklahoma, Colorado, Arizona na nchi ya Meksiko.

Thumb
ramani ya new mexico
Ukweli wa haraka Nchi, Mji mkuu ...

Mji mkuu wa jimbo ni Santa Fe. Mji mkubwa ni Albuquerque. Idadi ya wakazi wa jombo lote hufikia watu 1,819,046 wanaokalia eneo la 315,194 km² ambalo ni hasa milima na jangwa.

Remove ads

Viungo vya Nje



Ukweli wa haraka


Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu New Mexico kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads