Vermont

jimbo la Marekani From Wikipedia, the free encyclopedia

Vermont
Remove ads

Vermont ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika kaskazini-mashariki ya nchi. Mji mkuu ni Montpelier na mji mkubwa ni Burlington. Impekana na Kanada (Quebec), New Hampshire, Massachusetts na New York. Jimbo lina wakazi wapatao 621,270 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 24,923.

Thumb
Ukweli wa haraka Vermont, Jimbo ...
Remove ads

Viungo vya Nje

Ukweli wa haraka


Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Vermont kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads