Arizona
jimbo la Marekani From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Arizona ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Idadi ya wakazi wa jimbo lote hufikia watu 6,500,180 (2006) wanaokalia eneo la 295,254 km² ambalo sehemu kubwa ni milima na jangwa. Mji mkuu na mji mukubwa jimboni ni Phoenix. Imepakana na Utah, New Mexico (Meksiko Mpya), Mexiko (Sonora na Baja California), California na Nevada. Kuna lugha rasmi 3: Kiingereza (74.1%), Kihispania (19.5%) na Kinavaho (1.9%).


Remove ads
Viungo vya Nje
State of Arizona Official Website
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Arizona kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads