Wyoming
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wyoming ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu na mji mkubwa ni Cheyenne. Miji muhimu baada ya Cheyenne ni Casper, Laramie na Rock Springs. Imepakana na Montana, South Dakota (Dakota Kusini), Nebraska, Colorado, Utah na Idaho. Jimbo lina wakazi wapatao 532,668 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 253,348.
Remove ads
Hifadhi la Taifa
- Yellowstone National Park
- Grand Teton National Park


Viungo vya Nje
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wyoming kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads