Kentucky
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kentucky ni jimbo (commonwealth) la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu ni Frankfort.

Miji muhimu baada ya Frankfort ni Louisville, Lexington, Paducah, Pikeville na Ashland.
Kiingereza ni lugha rasmi.
Imepakana na Illinois, Indiana, Ohio, West Virginia (Virginia Magharibi), North Carolina (Carolina Kaskazini), Tennessee na Missouri.
Jimbo lina wakazi wapatao 4,269,245 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 104,659.

Remove ads
Viungo vya Nje
Commonwealth of Kentucky Official Website
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kentucky kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads