Kansas
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kansas ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu ni Topeka na mji mkubwa ni Wichita.

Kansas ni hasa jimbo la kilimo cha ngano pamoja na alizeti na mtama.
Jimbo lina wakazi wapatao 6,376,792 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 213,096.
Imepakana na Nebraska, Missouri, Oklahoma na Colorado.

Remove ads
Viungo vya Nje
- (Kiingereza) State of Kansas Official Website
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kansas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads