Michigan

jimbo la Marekani From Wikipedia, the free encyclopedia

Michigan
Remove ads

Michigan ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Umbo lake linafanana na rasi mawili linalozungukwa na Ziwa Superior, Ziwa Michigan, Ziwa Huron na Ziwa Erie. Imepakana na Kanada, Ohio, Indiana na Wisconsin.

Ukweli wa haraka Nchi, Mji mkuu ...

Mji mkuu ni Lansing na mji mkubwa ni Detroit.

Jimbo lina wakazi wapatao 10,003,422 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 253,793.

Thumb
Remove ads

Viungo vya Nje

Ukweli wa haraka


Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Michigan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads