Dzeta

From Wikipedia, the free encyclopedia

Dzeta
Remove ads

Dzeta (pia: Zeta) ni herufi ya sita katika Alfabeti ya Kigiriki. Inaandikwa kama ζ (alama ya kawaida) au Ζ (alama kubwa). Zamani za Kigiriki cha Kale ilikuwa pia tarakimu, ikiwa alama ya namba 7.

Ukweli wa haraka Alfabeti ya Kigiriki, Herufi za kawaida ...

Asili ya dzeta ni herufi ya Kifinisia ya zayin (tazama makala ya herufi Z). Matamshi yake yalikuwa "dz", katika Kigiriki cha kisasa ni zaidi kama Z ya Kiswahili. Kutokana na herufi hiyo, alfabeti ya Kilatini ina "Z" na alfabeti ya Kisirili ina "З".

Jinsi ilivyo kawaida kwa herufi mbalimbali za Kigiriki ζ inatumiwa kama kifupisho kwa ajili ya dhana mbalimbali katika hisabati na fizikia.

Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads