Uislamu ni dini ya pili duniani kwa wingi wa wafuasi. Kulingana na utafiti uliofanywa mwaka 2010 na kutolewa Januari 2011,[1][2] Waislamu ni bilioni 1.57, unachukua zaidi ya asilimia 23 ya idadi ya watu wote.[3][4][5]

Idadi ya Waislamu Dunia kwa asilimia (Pew Research Center, 2014).
Uislamu kwa nchi

Waislamu walio wengi ni wa madhehebu ya: Sunni (75–90%)[6] au Shia (10–20%).[7] Ahmadiyya wanawakilisha karibia 1% ya Waislamu wa dunia nzima.[8]

Uislamu ni dini yenye nguvu huko Mashariki ya Kati, Afrika Magharibi, Pembe la Afrika, Sahel,[1][9][10][11] na baadhi ya sehemu za Asia.[12] Baadhi ya jumuia za Kiislamu pia zinapatikana huko Uchina, Balkans, Uhindi na Urusi.[1][13]

Sehemu nyingine za dunia ambazo zina jumuia nyingi za wahamiaji wa Kiislamu ni pamoja na Ulaya ya Magharibi, kwa mfano, ambapo Uislamu ni dini ya pili kwa ukubwa baada ya Ukristo, ambapo inawakilisha asilimia 6 ya jumla ya wakazi wote.[14]

Kulingana na ripoti ya Pew Research Center mnamo 2010 kulikuwa na idadi kubwa ya Waislamu katika nchi zipatazo 49.[15] Karibu asilimia 62 ya Waislamu wa duniani kote wanaishi Kusini na Kusini mashariki mwa bara la Asia, ikiwa na wafuasi zaidi ya bilioni 1.[16] Nchi yenye idadi kubwa ya Waislamu duniani ni Indonesia, hii peke yake inachukua asilimia 12.7 ya idadi ya Waislamu wote wa dunia, ikifuatiwa na Pakistan (11.0%), India (10.9%), na Bangladesh (9.2%).[1][17] Karibia asilimia 20 ya Waislamu wanaishi katika nchi za Kiarabu.[18] Huko Mashariki ya Kati, nchi ambazo si za Kiarabu - Uturuki na Iran - ni nchi zenye Waislamu wengi sana; huko Afrika, Misri na Nigeria zina jumuia nyingi za Kiislamu.[1][17] Utafiti huo umekuta Waislamu wengi zaidi huko Uingereza kuliko hata Lebanon na wengi zaidi huko China kuliko hata nchini Syria.[1]

Nchi

Idadi zinazoonekana katika safu nne za kwanza hapo chini zinatokana na ripoti ya utafiti wa kidemografia uliofanywa na Kituo cha Utafiti cha Pew maarufu kama The Future of the Global Muslim Population, tangu 27 Januari 2011.[1][2]

Jedwali

Maelezo zaidi Nchi/Kanda, Idadi ya Waislamu Ripoti ya Pew 2010 ...
Nchi/Kanda[1] Idadi ya Waislamu
Ripoti ya Pew 2010[1]
Asilimia za Waislamu (%) nchini
Ripoti ya Pew 2010[1]
Asilimia za Waislamu nchini (%) kwa Dunia Nzima
Ripoti ya Pew 2010[1]
Idadi ya Waislamu
Vyanzo vingine
Asilimia za Waislamu (%)
Vyanzo vingine
Afghanistan Afghanistan 29,047,000 99.8 1.8
Albania Albania 1,500,000 38.8 0.2 1,587,608 (official census)[19] 38.8%[20][21] 56.7%[19]
Algeria Algeria 34,780,000 98.2 2.1
American Samoa American Samoa < 1,000 < 0.1 < 0.1
Andorra Andorra < 1,000 < 0.1 < 0.1
Angola Angola 90,000 1.0 < 0.1
Anguilla Anguilla < 1,000 0.3 < 0.1
Antigua and Barbuda Antigua na Barbuda < 1,000 0.6 < 0.1
Argentina Argentina 400,000 2.5 0.1
Armenia Armenia < 1,000 < 0.1 < 0.1
Aruba Aruba < 1,000 0.4 < 0.1
Australia Australia 399,000 1.9 < 0.1 476,291 (official census)[22] 2.2%[22]
Austria Austria 475,000 5.7 < 0.1 400-500,000[23] ~6.0%[24]
Azerbaijan Azerbaijan 8,795,000 98.4 0.5
The Bahamas Bahamas < 1,000 0.1 < 0.1
Bahrain Bahrain 655,000 81.2 < 0.1 866,888 (official census)[25] 70.2%[25]
Bangladesh Bangladesh 148,607,000 90.4 9.2
Barbados Barbados 2,000 0.9 < 0.1
Belarus Belarus 19,000 0.2 < 0.1
Ubelgiji Ubelgiji 638,000 6.0 < 0.1 628,751[26] 6.0%[26]
Belize Belize < 1,000 0.1 < 0.1
Benin Benin 2,259,000 24.5 0.1
Bermuda Bermuda < 1,000 0.8 < 0.1
Bhutan Bhutan 7,000 1.0 < 0.1
Bolivia Bolivia 2,000 < 0.1 < 0.1
Bosnia and Herzegovina Bosnia-Herzegovina 1,564,000 41.6 0.1 45%[27]
Botswana Botswana 8,000 0.4 < 0.1
Brazil Brazil 35,000 0.1 < 0.1 35,167 (official census)[28]
British Virgin Islands British Virgin Islands < 1,000 1.2 < 0.1
Brunei Brunei 211,000 51.9 < 0.1 67%[29]
Bulgaria Bulgaria 1,002,000 13.4 0.1 577,139 (official census)[30] 10%[30]
Burkina Faso Burkina Faso 9,600,000 58.9 0.6 60.5%[31]
Burma Burma (Myanmar) 1,900,000 3.8 0.1
Burundi Burundi 184,000 2.2 < 0.1
Kamboja Cambodia 240,000 1.6 < 0.1
Kamerun Cameroon 3,598,000 18.0 0.2 20.9%[32]
Kanada Canada 940,000 2.8 0.1 1,053,945 (official census)[33] 1.9%,[34] 3.2%[33]
Cabo Verde Cape Verde < 1,000 0.1 < 0.1
Kigezo:Country data Cayman Islands Cayman Islands < 1,000 0.2 < 0.1
Jamhuri ya Afrika ya Kati Central African Republic 403,000 8.9 < 0.1 15%[35][36]
Chad Chad 6,404,000 55.7 0.4
Chile Chile 4,000 < 0.1 < 0.1 2,894 (official census)[37] 0.03% (over 15+ pop.)[37]
Jamhuri ya Watu wa China China 23,308,000 1.8 1.4 50,000,000[38]
Kolombia Colombia 14,000 < 0.1 < 0.1 40,000 to 80,000[39]
Komori Comoros 679,000 98.3 < 0.1
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Congo 969,000 1.4 0.1
Cook Islands Cook Islands < 1,000 < 0.1 < 0.1
Costa Rica Costa Rica < 1,000 < 0.1 < 0.1
Kroatia Croatia 56,000 1.3 < 0.1
Kuba Cuba 10,000 0.1 < 0.1
Kupro Cyprus 200,000 22.7 < 0.1
Ucheki Czech Republic 4,000 < 0.1 < 0.1
Denmark Denmark 226,000 4.1 < 0.1 210,000[40] 3.7%[40]
Jibuti Djibouti 853,000 97.0 0.1
Dominica Dominica < 1,000 0.2 < 0.1
Jamhuri ya Dominika Dominican Republic 2,000 < 0.1 < 0.1
Ekuador Ecuador 2,000 < 0.1 < 0.1
Misri Egypt 80,024,000 94.7 4.9 91%[41]
El Salvador El Salvador 2,000 < 0.1 < 0.1
Guinea ya Ikweta Equatorial Guinea 28,000 4.1 < 0.1
Eritrea Eritrea 1,909,000 36.5 0.1 50%[42]
Estonia Estonia 2,000 0.1 < 0.1 1,400[43]
Ethiopia Ethiopia 25,000,000 33.8 1.8 25,037,646[44] 34%
Faroe Islands Faeroe Islands < 1,000 < 0.1 < 0.1
Visiwa vya Falkland Falkland Islands < 1,000 < 0.1 < 0.1
Federated States of Micronesia Federated States of Micronesia < 1,000 < 0.1 < 0.1
Fiji Fiji 54,000 6.3 < 0.1
Ufini Finland 42,000 0.8 < 0.1
Ufaransa France 4,704,000 7.5 0.3 8%-10%[45]
Guyana ya Kifaransa French Guiana 2,000 0.9 < 0.1
Kigezo:Country data French Polynesia French Polynesia < 1,000 < 0.1 < 0.1
Gabon Gabon 145,000 9.7 < 0.1
Gambia Gambia 1,669,000 95.3 0.1
Georgia (nchi) Georgia 442,000 10.5 < 0.1
Ujerumani Germany 4,119,000 5.0 0.3 4,300,000[46] 5,4%[46]
Ghana Ghana 3,906,000 16.1 0.2
Gibraltar Gibraltar 1,000 4.0 < 0.1
Ugiriki Greece 527,000 4.7 < 0.1
Kigezo:Country data Greenland Greenland < 1,000 < 0.1 < 0.1
Grenada Grenada < 1,000 0.3 < 0.1
Kigezo:Country data Guadeloupe Guadeloupe 2,000 0.4 < 0.1
Kigezo:Country data Guam Guam < 1,000 < 0.1 < 0.1
Guatemala Guatemala 1,000 < 0.1 < 0.1
Guinea Guinea 8,693,000 84.2 0.5
Guinea-Bisau Guinea Bissau 705,000 42.8 < 0.1 50%[47]
Guyana Guyana 55,000 7.2 < 0.1
Haiti Haiti 2,000 < 0.1 < 0.1
[[File:|22x20px|border |alt=Honduras|link=Honduras]] Honduras 11,000 0.1 < 0.1
Hong Kong Hong Kong 91,000 1.3 < 0.1
Hungaria Hungary 25,000 0.3 < 0.1 5,579 (official census)[48]
Iceland Iceland < 1,000 0.1 < 0.1 770[49] 0.24%[49]
Uhindi India 177,286,000 14.6 10.9
Indonesia Indonesia 204,847,000 88.1 12.7
Uajemi Iran 74,819,000 99.7 4.6
Iraq Iraq 31,108,000 98.9 1.9
Eire Ireland 43,000 0.9 < 0.1
Isle of Man Isle of Man < 1,000 0.2 < 0.1
Israel Israel 1,287,000 17.7 0.1
Italia Italia 1,583,000 2.6 0.1 825,000[24] 1.4%[24]
Côte d'Ivoire Ivory Coast 7,960,000 36.9 0.5 40%[50][51][52]
Jamaika Jamaica 1,000 < 0.1 < 0.1
Japani Japan 185,000 0.1 < 0.1
Jordan Jordan 6,397,000 98.8 0.4
Kazakhstan Kazakhstan 8,887,000 56.4 0.5 70.2% (official census)[53]
Kenya Kenya 2,868,000 7.0 0.2 10%[54]
Kiribati Kiribati < 1,000 < 0.1 < 0.1
Kosovo Kosovo 2,104,000 91.7 0.1 1,584,000[55]
Kuwait Kuwait 2,636,000 86.4 0.2
Kyrgyzstan Kyrgyzstan 4,927,000 88.8 0.3
Laos Laos 1,000 < 0.1 < 0.1
Latvia Latvia 2,000 0.1 < 0.1
Lebanon Lebanon 2,542,000 59.7 0.2
Lesotho Lesotho 1,000 < 0.1 < 0.1
Liberia Liberia 523,000 12.8 < 0.1
Libya Libya 6,325,000 96.6 0.4
Liechtenstein Liechtenstein 2,000 4.8 < 0.1
Lituanya Lithuania 3,000 0.1 < 0.1
Luxemburg Luxembourg 11,000 2.3 < 0.1
Kigezo:Country data Macau Macau < 1,000 < 0.1 < 0.1
Jamhuri ya Masedonia Masedonia Kaskazini 713,000 34.9 < 0.1
Madagaska Madagascar 220,000 1.1 < 0.1 7%[56]
Malawi Malawi 2,011,000 12.8 0.1
Malaysia Malaysia 17,139,000 61.4 1.1
Maldives Maldives 309,000 98.4 < 0.1
Mali Mali 12,316,000 92.4 0.8
Malta Malta 1,000 0.3 < 0.1
Marshall Islands Marshall Islands < 1,000 < 0.1 < 0.1
Kigezo:Country data Martinique Martinique < 1,000 0.2 < 0.1
Mauritania Mauritania 3,338,000 99.2 0.2
Morisi Mauritius 216,000 16.6 < 0.1
Mayotte Mayotte 197,000 98.8 < 0.1
Mexiko Mexico 111,000 0.1 < 0.1 3,700 (official census)[57]
Moldova Moldova 15,000 0.4 < 0.1
Monako Monaco < 1,000 0.5 < 0.1
Mongolia Mongolia 120,000 4.4 < 0.1
Montenegro Montenegro 116,000 18.5 < 0.1 118,477 [58] 19.11% [58]
Kigezo:Country data Montserrat Montserrat < 1,000 0.1 < 0.1
Moroko Moroko 32,381,000 99.9 2.0 99%[59]
Msumbiji Mozambique 5,340,000 22.8 0.3
Namibia Namibia 9,000 0.4 < 0.1
Nauru Nauru < 1,000 < 0.1 < 0.1
Nepal Nepal 1,253,000 4.2 0.1
Uholanzi Netherlands 914,000 5.5 0.1 5.8%[60]
Kigezo:Country data Netherlands Antilles Netherlands Antilles < 1,000 0.2 < 0.1
Kigezo:Country data New Caledonia New Caledonia 7,000 2.8 < 0.1
New Zealand New Zealand 41,000 0.9 < 0.1
Nikaragua Nicaragua 1,000 < 0.1 < 0.1
Niger
Niger
15,627,000 98.3 1.0
Nigeria Nigeria 75,728,000 47.9 4.7 85,000,000 50%
Kigezo:Country data Niue Niue < 1,000 < 0.1 < 0.1
North Korea North Korea 3,000 < 0.1 < 0.1
Kigezo:Country data Northern Mariana Islands Northern Mariana Islands < 1,000 0.7 < 0.1
Norwei Norway 144,000 3.0 < 0.1 163,180 in 2008[61]
Omani Oman 2,547,000 87.7 0.2
Pakistan Pakistan 178,097,000 96.4 11.0
Palau Palau < 1,000 < 0.1 < 0.1
Palestinian territories Palestine 4,298,000 97.5 0.3 3,500,000 99.3% (Gaza Strip),[62] 75% (West Bank)[63]
Panama Panama 25,000 0.7 < 0.1
Papua Guinea Mpya Papua New Guinea 2,000 < 0.1 < 0.1
Paraguay Paraguay 1,000 < 0.1 < 0.1
Peru Peru < 1,000 < 0.1 < 0.1
Philippines Philippines 4,737,000 5.1 0.3 10,300,000 (2012)[64] 5% (2000) to 11% (2012)[64]
Kigezo:Country data Pitcairn Islands Pitcairn Islands < 1,000 < 0.1 < 0.1
Poland Poland 20,000 0.1 < 0.1
Ureno Portugal 65,000 0.6 < 0.1
Template loop detected: Kigezo:Country data Puerto Rico Puerto Rico 1,000 < 0.1 < 0.1
Qatar Qatar 1,168,000 77.5 0.1
Kigezo:Country data Republic of Congo Republic of Congo 60,000 1.6 < 0.1
Kigezo:Country data Reunion Reunion 35,000 4.2 < 0.1
Romania Romania 73,000 0.3 < 0.1
Urusi Russia 16,379,000 11.7 1.0 11.7%[65]
Rwanda Rwanda 188,000 1.8 < 0.1
Saint Helena St. Helena < 1,000 < 0.1 < 0.1
Saint Kitts and Nevis St. Kitts na Nevis < 1,000 0.3 < 0.1
Saint Lucia St. Lucia < 1,000 0.1 < 0.1
Kigezo:Country data Saint Pierre and Miquelon St. Pierre and Miquelon < 1,000 0.2 < 0.1
Saint Vincent and the Grenadines St. Vincent na Grenadines 2,000 1.7 < 0.1
Samoa Samoa < 1,000 < 0.1 < 0.1
San Marino San Marino < 1,000 < 0.1 < 0.1
São Tomé na Príncipe São Tomé na Príncipe < 1,000 < 0.1 < 0.1
Saudi Arabia Saudi Arabia 25,493,000 97.1 1.6
Senegal Senegal 12,333,000 95.9 0.8
Serbia Serbia 280,000 3.7 < 0.1
Shelisheli Shelisheli < 1,000 1.1 < 0.1
Sierra Leone Sierra Leone 4,171,000 71.5 0.3
Singapuri Singapore 721,000 14.9 < 0.1
Slovakia Slovakia 4,000 0.1 < 0.1
Slovenia Slovenia 49,000 2.4 < 0.1
Solomon Islands Solomon Islands < 1,000 < 0.1 < 0.1
Somalia Somalia 9,231,000 98.6 0.6 99.9%[66][67][68][69][70]
Afrika Kusini South Africa 110,000 1.5 < 0.1
South Korea South Korea 35,000 0.2 < 0.1
South Sudan South Sudan
Hispania Spain 1,021,000 2.3 0.1 1,000,000[24] 2.3%[24]
Sri Lanka Sri Lanka 1,725,000 8.5 0.1 1,967,227 (official census)[71] 9.71[71]
Sudan Sudan 30,855,000 71.4[72] 1.9 97.0% (only the Republic of Sudan)[73]
Surinam Suriname 84,000 15.9 < 0.1 19.6%[74]
Eswatini Swaziland 2,000 0.2 < 0.1
Uswidi Sweden 451,000 4.9 < 0.1 450-500,000[75] ~5%[75]
Uswisi Switzerland 433,000 5.7 < 0.1 400,000[76] 5%[76]
Syria Syria 20,895,000 92.8 1.3
Republic of China Taiwan 23,000 0.1 < 0.1 60,000[77] 0.3%[78]
Tajikistan Tajikistan 7,006,000 99.0 0.4
Tanzania Tanzania 13,450,000 29.9 0.8 35%[79]
Uthai Thailand 3,952,000 5.8 0.2
East Timor Timor-Leste 1,000 0.1 < 0.1
Togo Togo 827,000 12.2 0.1 20%[80]
Kigezo:Country data Tokelau Tokelau < 1,000 < 0.1 < 0.1
Tonga Tonga < 1,000 < 0.1 < 0.1
Trinidad and Tobago Trinidad na Tobago 78,000 5.8 < 0.1
Tunisia Tunisia 10,349,000 99.8 0.6
Uturuki Turkey 74,660,000 98.6 4.6 96.4[81] - 76%[82]
Turkmenistan Turkmenistan 4,830,000 93.3 0.3
Kigezo:Country data Turks and Caicos Islands Turks and Caicos Islands < 1,000 < 0.1 < 0.1
Tuvalu Tuvalu < 1,000 0.1 < 0.1
Uganda Uganda 3,700,000 12.0 0.3
Ukraine Ukraine 393,000 0.9 < 0.1 2,000,000[83]
Falme za Kiarabu United Arab Emirates 3,577,000 76.0 0.2
Ufalme wa Muungano United Kingdom 2,869,000 4.6 0.2 2,422,000[84] 2.4%[24]
Marekani United States 2,595,000 0.8 0.2 6,000,000-7,000,000[85]
Kigezo:Country data United States Virgin Islands U.S. Virgin Islands < 1,000 0.1 < 0.1
Uruguay Uruguay < 1,000 < 0.1 < 0.1
Uzbekistan Uzbekistan 26,833,000 96.5 1.7
Vanuatu Vanuatu < 1,000 < 0.1 < 0.1
Vatikani Vatikani 0 0 0
Venezuela Venezuela 95,000 0.3 < 0.1
Vietnam Vietnam 63,146 0.2 < 0.1 71,200[86]
Kigezo:Country data Wallis and Futuna Wallis na Futuna < 1,000 < 0.1 < 0.1
Sahara ya Magharibi Western Sahara 528,000 99.6 < 0.1
Yemen Yemen 24,023,000 99.0 1.5
Zambia Zambia 15,000 0.4 < 0.1
Zimbabwe Zimbabwe 50,000 0.9 < 0.1
Kusini na Kusinimashariki mwa Asia 1,005,507,000 24.8 62.1
Mashariki ya Kati-Afrika Magharibi 321,869,000 91.2 19.9
Afrika Kusini kwa Sahara 242,544,000 29.6 15.0
Ulaya 44,138,000 6.0 2.7
Amerika 5,256,000 0.6 0.3
Idadi ya Dunia Nzima 1,619,314,000 23.4 100.0
Funga

Marejeo

Viungo vya nje

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.